-
1 Wafalme 10:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Na kulikuwa na simba 12 waliosimama kwenye ngazi hizo sita, wawili kwenye kila ngazi, mmoja upande huu na mwingine upande wa pili. Hakuna ufalme mwingine wowote uliokuwa umetengeneza kiti kama hicho.
-