-
1 Wafalme 10:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Kila mmoja wao alileta zawadi—vitu vya fedha, vitu vya dhahabu, mavazi, silaha, mafuta ya zeri, farasi, na nyumbu—na walifanya hivyo mwaka baada ya mwaka.
-