2 Walitoka katika mataifa ambayo Yehova alikuwa amewaambia hivi Waisraeli kuyahusu: “Hampaswi kuingia miongoni mwao, nao hawapaswi kuingia miongoni mwenu; kwa maana kwa hakika wataigeuza mioyo yenu ifuate miungu yao.”+ Lakini Sulemani alishikamana nao na kuwapenda.