1 Wafalme 11:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Daudi aliposhinda Edomu,+ Yoabu mkuu wa jeshi alipanda kwenda kuwazika waliouawa, naye akajaribu kumuua kila mwanamume huko Edomu.
15 Daudi aliposhinda Edomu,+ Yoabu mkuu wa jeshi alipanda kwenda kuwazika waliouawa, naye akajaribu kumuua kila mwanamume huko Edomu.