1 Wafalme 11:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 Basi wakaondoka Midiani na kufika Parani. Walichukua wanaume kutoka Parani+ na kwenda Misri, kwa Farao mfalme wa Misri, ambaye alimpa nyumba, akaamuru awe akipewa chakula, na pia akampa ardhi.
18 Basi wakaondoka Midiani na kufika Parani. Walichukua wanaume kutoka Parani+ na kwenda Misri, kwa Farao mfalme wa Misri, ambaye alimpa nyumba, akaamuru awe akipewa chakula, na pia akampa ardhi.