-
1 Wafalme 11:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Lakini Farao akamuuliza: “Ni nini ulichokosa kwangu hivi kwamba unataka kwenda katika ardhi yako mwenyewe?” Hadadi akamjibu: “Sijakosa chochote, lakini tafadhali niruhusu niende zangu.”
-