-
1 Wafalme 11:25Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
25 Naye akawa mpinzani wa Waisraeli siku zote za Sulemani, kuongezea madhara yaliyosababishwa na Hadadi, naye aliwachukia sana Waisraeli alipokuwa akitawala Siria.
-