-
1 Wafalme 12:33Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
33 Katika siku ya 15 ya mwezi wa nane, mwezi aliojichagulia, akaanza kutoa dhabihu kwenye madhabahu aliyokuwa amejenga huko Betheli; akaanzisha sherehe kwa ajili ya Waisraeli, naye akapanda juu ya madhabahu ili kutoa dhabihu na kufukiza moshi wa dhabihu.
-