-
1 Wafalme 13:28Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
28 Halafu akaenda zake na kuikuta ile maiti imetupwa barabarani, punda na simba wakiwa wamesimama kando ya maiti hiyo. Simba hakuwa ameila maiti, wala hakuwa amemrarua punda.
-