-
1 Wafalme 13:29Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
29 Nabii huyo mzee akaibeba maiti ya mtu wa Mungu wa kweli na kuiweka juu ya punda, akairudisha katika jiji lake mwenyewe ili kumwombolezea na kumzika.
-