-
1 Wafalme 14:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Mara tu Ahiya aliposikia sauti ya miguu ya mwanamke huyo alipokuwa akija mlangoni, akasema: “Ingia ndani, mke wa Yeroboamu. Kwa nini unaficha sura yako usijulikane? Nimeagizwa nikupe ujumbe mkali.
-