-
1 Wafalme 16:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Mtu yeyote wa nyumba ya Baasha anayefia jijini ataliwa na mbwa; na mtu yeyote wa nyumba yake anayefia shambani ataliwa na ndege wa angani.”
-