1 Wafalme 16:6 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 6 Kisha Baasha akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake kule Tirsa;+ na Ela mwana wake akawa mfalme baada yake.
6 Kisha Baasha akafa na kuzikwa pamoja na mababu zake kule Tirsa;+ na Ela mwana wake akawa mfalme baada yake.