-
1 Wafalme 16:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Katika mwaka wa 26 wa Mfalme Asa wa Yuda, Ela mwana wa Baasha akawa mfalme wa Israeli kule Tirsa, naye alitawala kwa miaka miwili.
-