-
1 Wafalme 16:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Zimri mtumishi wake, mkuu wa nusu ya kikosi chake cha magari ya vita, alipanga njama dhidi yake alipokuwa Tirsa akinywa na kulewa nyumbani kwa Arsa, msimamizi wa nyumba yake kule Tirsa.
-