-
1 Wafalme 16:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Lakini watu waliokuwa wakimfuata Omri waliwashinda watu waliokuwa wakimfuata Tibni mwana wa Ginathi. Basi Tibni akafa, na Omri akawa mfalme.
-