-
1 Wafalme 16:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Katika mwaka wa 31 wa Mfalme Asa wa Yuda, Omri akawa mfalme wa Israeli, naye akatawala kwa miaka 12. Alitawala Tirsa kwa miaka sita.
-