-
1 Wafalme 17:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Kisha Eliya akamwambia: “Usiogope. Nenda nyumbani ufanye kama ulivyosema. Lakini kwanza nitayarishie mkate mdogo wa mviringo kwa unga na mafuta uliyo nayo. Kisha unaweza kutayarisha chochote baadaye kwa ajili yako na mwanao.
-