-
1 Wafalme 18:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Kwa hiyo wakagawana maeneo ya nchi ambako wangeenda kutafuta nyasi. Ahabu akaenda peke yake upande mmoja, na Obadia akaenda peke yake upande mwingine.
-