-
1 Wafalme 18:26Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
26 Basi wakamchukua huyo ng’ombe dume mchanga waliyepewa, wakamtayarisha, na kuendelea kuliita jina la Baali kuanzia asubuhi mpaka adhuhuri, wakisema: “Ee Baali, tujibu!” Lakini hapakuwa na sauti yoyote, wala yeyote aliyewajibu.+ Nao wakazidi kurukaruka kuizunguka madhabahu waliyokuwa wametengeneza.
-