-
1 Wafalme 19:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Ndipo akawaacha wale ng’ombe dume, akamfuata Eliya mbio na kusema: “Tafadhali, niruhusu nimbusu baba yangu na mama yangu. Kisha nitakufuata.” Eliya akamwambia: “Nenda, rudi nyumbani, nimekuzuia kwa njia gani?”
-