1 Wafalme 20:20 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 20 kila mmoja wao akamuua adui yake. Ndipo Wasiria wakakimbia,+ na Waisraeli wakawafuatia, lakini Mfalme Ben-hadadi wa Siria akapanda farasi na kutoroka pamoja na baadhi ya wapanda farasi.
20 kila mmoja wao akamuua adui yake. Ndipo Wasiria wakakimbia,+ na Waisraeli wakawafuatia, lakini Mfalme Ben-hadadi wa Siria akapanda farasi na kutoroka pamoja na baadhi ya wapanda farasi.