-
1 Wafalme 20:23Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
23 Sasa watumishi wa mfalme wa Siria wakamwambia: “Mungu wao ni Mungu wa milima. Ndiyo sababu walitushinda nguvu. Lakini tukipigana nao kwenye nchi tambarare, tutawashinda nguvu.
-