-
1 Wafalme 20:33Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
33 Basi watu hao wakaliona jambo hilo kuwa ishara njema, na bila kukawia wakaamini maneno yake, wakamwambia: “Ben-hadadi ni ndugu yako.” Kwa hiyo akasema: “Nendeni mkamlete.” Kisha Ben-hadadi akatoka na kwenda kwake, mfalme akampandisha garini.
-