-
1 Wafalme 21:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Ahabu akamwambia Nabothi: “Nipe shamba lako la mizabibu ili nilifanye kuwa shamba la mboga, kwa sababu liko karibu na nyumba yangu. Badala ya shamba hilo, nitakupa shamba bora zaidi la mizabibu. Au ukipenda, nitakulipa pesa zinazolingana na thamani yake.”
-