-
1 Wafalme 21:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Basi Ahabu akaingia nyumbani mwake, akiwa amesononeka na kuvunjika moyo kwa sababu ya jibu ambalo Nabothi Myezreeli alimpa aliposema: “Sitakupa urithi wa mababu zangu.” Kisha akalala kitandani mwake, akaugeuzia mbali uso wake, na kukataa kula.
-