-
1 Wafalme 21:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Akamjibu: “Ni kwa sababu nilimwambia Nabothi Myezreeli, ‘Niuzie shamba lako la mizabibu. Au ukipenda, nitakupa shamba lingine la mizabibu badala ya shamba hilo.’ Lakini akaniambia, ‘Sitakupa shamba langu la mizabibu.’”
-