1 Wafalme 21:15 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 15 Mara tu Yezebeli aliposikia kwamba Nabothi amepigwa mawe akafa, akamwambia Ahabu: “Inuka, chukua shamba la mizabibu la Nabothi Myezreeli,+ ambalo alikataa kukuuzia, kwa maana Nabothi hayuko hai tena. Amekufa.”
15 Mara tu Yezebeli aliposikia kwamba Nabothi amepigwa mawe akafa, akamwambia Ahabu: “Inuka, chukua shamba la mizabibu la Nabothi Myezreeli,+ ambalo alikataa kukuuzia, kwa maana Nabothi hayuko hai tena. Amekufa.”