-
1 Wafalme 21:16Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
16 Mara tu Ahabu aliposikia kwamba Nabothi amekufa, Ahabu aliondoka, akashuka kwenda kwenye shamba la mizabibu la Nabothi Myezreeli ili alichukue.
-