-
1 Wafalme 21:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Mara tu Ahabu aliposikia maneno hayo, akararua mavazi yake na kuvaa nguo za magunia; akaanza kufunga na kulala chini katika nguo za magunia na kutembea kwa huzuni.
-