-
1 Wafalme 22:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Kisha akaingia kwa mfalme, naye mfalme akamuuliza: “Mikaya, je, twende kupigana vita dhidi ya Ramothi-gileadi, au tusiende?” Mara moja akajibu: “Panda uende nawe utafanikiwa; Yehova atalitia jiji hilo mikononi mwako.”
-