-
1 Wafalme 22:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Na mara tu makamanda hao wa magari ya vita walipomwona Yehoshafati, wakaambiana: “Hakika huyu ndiye mfalme wa Israeli.” Basi wakamgeukia ili kupigana naye; na Yehoshafati akaanza kulilia msaada.
-