-
1 Wafalme 22:42Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
42 Yehoshafati alikuwa na umri wa miaka 35 alipowekwa kuwa mfalme, naye alitawala kwa miaka 25 huko Yerusalemu. Mama yake aliitwa Azuba binti ya Shilhi.
-