-
1 Wafalme 22:45Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
45 Na mambo mengine katika historia ya Yehoshafati, mambo makuu aliyotekeleza na jinsi alivyopigana vita, je, hayajaandikwa katika kitabu cha historia ya nyakati za wafalme wa Yuda?
-