Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO
  • 2 Wafalme 17:26
    Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
    • 26 Mfalme wa Ashuru akapata habari hii: “Mataifa uliyoyapeleka uhamishoni na kuyaweka katika majiji ya Samaria ili yaishi humo hayajui dini* ya Mungu wa nchi hiyo. Kwa hiyo anaendelea kuwatuma simba miongoni mwao; na simba hao wanawaua, kwa sababu hakuna yeyote kati yao anayejua dini ya Mungu wa nchi hiyo.”

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki