-
2 Wafalme 17:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Ndipo mfalme wa Ashuru akaamuru hivi: “Mrudisheni huko mmoja wa makuhani mliowaleta uhamishoni, aishi huko na kuwafundisha watu hao dini ya Mungu wa nchi hiyo.”
-