2 Wafalme 18:21 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 21 Tazama! Unautumaini msaada wa utete huu uliopondeka, Misri,+ ambao mtu yeyote akiuegemea utamchoma kiganja na kukitoboa. Hivyo ndivyo Farao mfalme wa Misri alivyo kwa wote wanaomtumaini. 2 Wafalme Fahirisi ya Machapisho ya Watch Tower 1996-2012 18:21 w10 7/15 12-13; w05 8/1 11 2 Wafalme Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 18:21 Mnara wa Mlinzi (2010),7/15/2010, kur. 12-138/1/2005, uku. 11
21 Tazama! Unautumaini msaada wa utete huu uliopondeka, Misri,+ ambao mtu yeyote akiuegemea utamchoma kiganja na kukitoboa. Hivyo ndivyo Farao mfalme wa Misri alivyo kwa wote wanaomtumaini.