2 Wafalme 19:26 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 26 Wakaaji wake hawatakuwa na uwezo;Wataogopeshwa na kuaibishwa. Watakuwa kama mimea ya shambani na nyasi mbichi,+Kama nyasi zilizo kwenye paa zinazokaushwa na upepo wa mashariki.
26 Wakaaji wake hawatakuwa na uwezo;Wataogopeshwa na kuaibishwa. Watakuwa kama mimea ya shambani na nyasi mbichi,+Kama nyasi zilizo kwenye paa zinazokaushwa na upepo wa mashariki.