-
2 Wafalme 23:5Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
5 Basi akawaondoa kabisa makuhani wa miungu ya kigeni, waliochaguliwa na wafalme wa Yuda kufukiza moshi wa dhabihu mahali pa juu katika majiji ya Yuda na maeneo yanayozunguka Yerusalemu, na pia wale waliofukiza moshi wa dhabihu kwa Baali, kwa jua, kwa mwezi, kwa makundi ya nyota za unajimu, na kwa jeshi lote la mbinguni.+
-