- 
	                        
            
            2 Wafalme 23:35Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
- 
                            - 
                                        35 Yehoyakimu alimpa Farao fedha na dhahabu, lakini alilazimika kuitoza nchi kodi ili ampe Farao fedha alizodai. Alimtoza kila mtu nchini kiasi kilichokadiriwa cha fedha na dhahabu cha kumpa Farao Neko. 
 
-