2 Wafalme 1:10 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 10 Lakini Eliya akamjibu mkuu huyo wa 50: “Ikiwa kwa kweli mimi ni mtu wa Mungu, moto na ushuke kutoka mbinguni,+ ukuteketeze wewe na wanaume wako 50.” Basi moto ukashuka kutoka mbinguni, ukamteketeza pamoja na wanaume wake 50.
10 Lakini Eliya akamjibu mkuu huyo wa 50: “Ikiwa kwa kweli mimi ni mtu wa Mungu, moto na ushuke kutoka mbinguni,+ ukuteketeze wewe na wanaume wako 50.” Basi moto ukashuka kutoka mbinguni, ukamteketeza pamoja na wanaume wake 50.