-
2 Wafalme 1:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Kwa hiyo mfalme akamtuma tena mkuu mwingine wa 50 na wanaume wake 50 kwenda kwa Eliya. Akaenda na kumwambia: “Mtu wa Mungu wa kweli, mfalme anasema, ‘Shuka chini haraka.’”
-