-
2 Wafalme 1:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Lakini Eliya akawajibu, “Ikiwa mimi ni mtu wa Mungu wa kweli, moto na ushuke kutoka mbinguni, ukuteketeze wewe na wanaume wako 50.” Basi moto wa Mungu ukashuka kutoka mbinguni, ukamteketeza pamoja na wanaume wake 50.
-