-
2 Wafalme 1:13Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
13 Kisha mfalme akamtuma tena mkuu wa tatu wa 50 na wanaume wake 50. Lakini yule mkuu wa tatu wa 50 akapanda, akainama na kupiga magoti mbele ya Eliya, akaanza kumsihi apate kibali mbele yake na kumwambia, “Mtu wa Mungu wa kweli, tafadhali, acha uhai wangu na uhai wa watumishi hawa wako 50 uwe* na thamani machoni pako.
-