-
2 Wafalme 1:15Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
15 Ndipo malaika wa Yehova akamwambia Eliya: “Shuka pamoja naye. Usimwogope.” Basi akainuka, akashuka na kwenda pamoja naye kwa mfalme.
-