-
2 Wafalme 3:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Mesha mfalme wa Moabu alikuwa mfugaji wa kondoo, naye alikuwa akilipa wanakondoo 100,000 na kondoo dume 100,000 ambao hawajakatwa manyoya kama ushuru kwa mfalme wa Israeli.
-