2 Wafalme 3:9 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 9 Basi mfalme wa Israeli akaondoka pamoja na mfalme wa Yuda na mfalme wa Edomu.+ Baada ya kuzunguka kwa siku saba, jeshi na wanyama wa kufugwa waliokuwa wakiwafuata hawakuwa na maji.
9 Basi mfalme wa Israeli akaondoka pamoja na mfalme wa Yuda na mfalme wa Edomu.+ Baada ya kuzunguka kwa siku saba, jeshi na wanyama wa kufugwa waliokuwa wakiwafuata hawakuwa na maji.