-
2 Wafalme 3:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Walipoamka asubuhi na mapema, jua lilikuwa likiangaza juu ya maji, na Wamoabu waliokuwa upande wa pili waliona maji yakiwa mekundu kama damu.
-