2 Wafalme 4:29 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 29 Mara moja akamwambia Gehazi: “Jifunge mavazi yako kiunoni,+ chukua fimbo yangu mkononi mwako, uende. Ukikutana na yeyote, usimsalimu; na yeyote akikusalimu, usimjibu. Nenda uiweke fimbo yangu juu ya uso wa mvulana huyo.”
29 Mara moja akamwambia Gehazi: “Jifunge mavazi yako kiunoni,+ chukua fimbo yangu mkononi mwako, uende. Ukikutana na yeyote, usimsalimu; na yeyote akikusalimu, usimjibu. Nenda uiweke fimbo yangu juu ya uso wa mvulana huyo.”