-
2 Wafalme 4:37Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
37 Mwanamke huyo akaingia ndani, akaanguka miguuni pa Elisha na kuinama mbele yake mpaka ardhini, kisha akamchukua mwanawe na kutoka nje.
-